Hamna kitu, kawaida sana. Wale wanaotumia Audi, Benz, BMW zenye speed 260 hadi 300kph wako kimya. Hiyo Brevis kawaida sana. Hata kama ile ya Engine yenye nguvu (2JZ-D4), lakini bado ni kawaida tu.Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph..
Mkuu acha kuariri kuwa kila mwenye toyota ni ya mkopo, pia acha kuariri kuwa subaru inakimbia sana, hyo subaru yako ni taka taka tu kwa baadhi ya gar za toyota, halafu subaru mnapenda ligi hata na magari msio yaweza, nilishuhudia siku moja subaru forester analeta ligi na toyota v8, anaona jamaa wa v8 anamchelewesha....jamaa wa v8 alipoona mble njia nyeupe..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa wa subaru niliona kama kapaki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe anatembea tena yupo kibati.Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto hiyoNilishinda kilaini tu mkuu,nilikua na bmw mini cooper s supercharge 7gear manual
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 260 unafika kwa barabara zipi? Hata kama inafika max 600kph, bado sio kigezo, kama ni kiachwa zile sekunde 5 za mwanzoni utaachwa tu, hadi ufike hiyo speed hutajuwa niko wapiHamna kitu, kawaida sana. Wale wanaotumia Audi, Benz, BMW zenye speed 260 hadi 300kph wako kimya. Hiyo Brevis kawaida sana. Hata kama ile ya Engine yenye nguvu(2JZ-D4), lakini bado ni kawaida tu.
Ulipomaliza kuota ukajikuta kitandani sio?😂😂 Siku nyingine ota hiyo ndoto ukiwa na ai300Kuna siku mshenzi 1 alinitukana kwa kunipita nikiwa 180 Miteremko ya Segera. Afu akawa ananisubiria nikimpita ananipita.
Alikuwa BMW mi na Brevis 250
Ulipomaliza kuota ukajikuta kitandani sio?[emoji23][emoji23] Siku nyingine ota hiyo ndoto ukiwa na ai300
Mkuu tunachangamshana tu tufurahi.
Tunafundishana kuheshimu aliye mbele yako na anaendesha within speed limits halafu wewe unataka kumuona mjingaMuda wote huo unaposhindana unapata nini?! Au faida gani. Acha ujinga
Sekunde 5 kwa gari inayoweza kufika 240 kwa mfano kwa saa, wewe mwenye 180 huchukui round, anakupita kama upo kwenye bajaji au trekta. Achan kabisa na magari ya Europa. Unaweza kukuta yana Engine ndogo lakini ni moto wa kuotea mbali, kwenye kona yanashika njia,kwanza gari zao ni mazito sana hivyo yako stable.Hiyo 260 unafika kwa barabara zipi? Hata kama inafika max 600kph, bado sio kigezo, kama ni kiachwa zile sekunde 5 za mwanzoni utaachwa tu, hadi ufike hiyo speed hutajuwa niko wapi
Sekunde 5 kwa gari inayoweza kufika 240 kwa mfano kwa saa, wewe mwenye 180 huchukui round, anakupita kama upo kwenye bajaji au trekta. Achan kabisa na magari ya Europa. Unaweza kukuta yana Engine ndogo lakini ni moto wa kuotea mbali, kwenye kona yanashika njia,kwanza gari zao ni mazito sana hivyo yako stable.
Toyota kwa reliability hakuna cha nani wala nani wote anawakalisha tu.Toyota Brevis ipewe heshima yake. Hii gari ingawa ni sedan uwezi kulinganisha na sedan za ulaya kwenye kustahimili njia mbovu ikipita kwa spidi na ukirudi huwazi kwenda gereji.
Mwezi wa 4 tuliingia porini na mshua fulani kama wiki 3, njia zilikuwa mbovu mvua inanyesha, gari ilikuwa inaingia kwenye shimo za maji lakini chombo haijawasha taa hata ya cheki engine.
Hizo gari za ulaya ambazo ni sedan ukienda njia mbovu msimu wa mvua unarudi na kilio.
Kasi ya gari siyo brand, ni dereva.Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo
Sent using Jamii Forums mobile app