Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph..
Hamna kitu, kawaida sana. Wale wanaotumia Audi, Benz, BMW zenye speed 260 hadi 300kph wako kimya. Hiyo Brevis kawaida sana. Hata kama ile ya Engine yenye nguvu (2JZ-D4), lakini bado ni kawaida tu.
 
Kuna siku mshenzi 1 alinitukana kwa kunipita nikiwa 180 Miteremko ya Segera. Afu akawa ananisubiria nikimpita ananipita.

Alikuwa BMW mi na Brevis 250
 
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kuariri kuwa kila mwenye toyota ni ya mkopo, pia acha kuariri kuwa subaru inakimbia sana, hyo subaru yako ni taka taka tu kwa baadhi ya gar za toyota, halafu subaru mnapenda ligi hata na magari msio yaweza, nilishuhudia siku moja subaru forester analeta ligi na toyota v8, anaona jamaa wa v8 anamchelewesha....jamaa wa v8 alipoona mble njia nyeupe..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa wa subaru niliona kama kapaki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe anatembea tena yupo kibati.

Hvyo acha kukariri, gar za toyota nyingi zinapitwa tu kwa sababu ya limit speed ya 180. Ndo maana siajabu hata kukuta Crown ikapitwa na Golf VW wakitembea umbali mrefu.
 
Nyie endeleeni na ligi zenu hizo,mi role model wangu kuna majanki wajamaica wanasukuma milori ile ya kiaustralia wanapangua gia 12+ moto chini na kutoa km umeme kwa trafic hizi town. Mziki wake sasa waikute tambarare utapenda.

Ndio ndoto yangu siku moja.
 
Morg Tunaongelea Simba ai300 ndugu yangu, hiyo gari ya kubebea bibi harusi wapi na wapi?😂😂, tell me u are joking
 
Hamna kitu, kawaida sana. Wale wanaotumia Audi, Benz, BMW zenye speed 260 hadi 300kph wako kimya. Hiyo Brevis kawaida sana. Hata kama ile ya Engine yenye nguvu(2JZ-D4), lakini bado ni kawaida tu.
Hiyo 260 unafika kwa barabara zipi? Hata kama inafika max 600kph, bado sio kigezo, kama ni kiachwa zile sekunde 5 za mwanzoni utaachwa tu, hadi ufike hiyo speed hutajuwa niko wapi
 
Kuna siku mshenzi 1 alinitukana kwa kunipita nikiwa 180 Miteremko ya Segera. Afu akawa ananisubiria nikimpita ananipita.

Alikuwa BMW mi na Brevis 250
Ulipomaliza kuota ukajikuta kitandani sio?😂😂 Siku nyingine ota hiyo ndoto ukiwa na ai300
 
Hiyo 260 unafika kwa barabara zipi? Hata kama inafika max 600kph, bado sio kigezo, kama ni kiachwa zile sekunde 5 za mwanzoni utaachwa tu, hadi ufike hiyo speed hutajuwa niko wapi
Sekunde 5 kwa gari inayoweza kufika 240 kwa mfano kwa saa, wewe mwenye 180 huchukui round, anakupita kama upo kwenye bajaji au trekta. Achan kabisa na magari ya Europa. Unaweza kukuta yana Engine ndogo lakini ni moto wa kuotea mbali, kwenye kona yanashika njia,kwanza gari zao ni mazito sana hivyo yako stable.
 
Toyota Brevis ipewe heshima yake. Hii gari ingawa ni sedan uwezi kulinganisha na sedan za ulaya kwenye kustahimili njia mbovu ikipita kwa spidi na ukirudi huwazi kwenda gereji.

Mwezi wa 4 tuliingia porini na mshua fulani kama wiki 3, njia zilikuwa mbovu mvua inanyesha, gari ilikuwa inaingia kwenye shimo za maji lakini chombo haijawasha taa hata ya cheki engine.

Hizo gari za ulaya ambazo ni sedan ukienda njia mbovu msimu wa mvua unarudi na kilio.
 
Aisee kufika tu 0-100km/h ndani ya 5 sec sio mchezo na gari hizo zipo kwny category za super cars/rally.

Sasa hio uliyoitaja ya kufika 0-240km/h ndani ya 5 sec labda ungeniambia hapa itakua ni ipi mkuu?
 
Toyota Brevis ipewe heshima yake. Hii gari ingawa ni sedan uwezi kulinganisha na sedan za ulaya kwenye kustahimili njia mbovu ikipita kwa spidi na ukirudi huwazi kwenda gereji.

Mwezi wa 4 tuliingia porini na mshua fulani kama wiki 3, njia zilikuwa mbovu mvua inanyesha, gari ilikuwa inaingia kwenye shimo za maji lakini chombo haijawasha taa hata ya cheki engine.

Hizo gari za ulaya ambazo ni sedan ukienda njia mbovu msimu wa mvua unarudi na kilio.
Toyota kwa reliability hakuna cha nani wala nani wote anawakalisha tu.
 
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasi ya gari siyo brand, ni dereva.
 
Back
Top Bottom