Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Na hio sio bmw 3 series mkuu.
Umezoea kuiona generation ipi zaid mkuu? View attachment 1625117
Crop800x600.jpeg-4.jpg
 
Cherokee 4.0l ni utopolo hio usione hio 4.0l ukadhani ni gari ya maana haina mbio hata kidogo,cherokee ya maana labda utafute SRT kitu 6.4l na sijui kama bei yake utaiweza.

Janaa anakwambia hakuna brevis no. C Tz hui,hahah.
Jamaa hiyo Brevis yake nahisi ukweni kwake walimpamba akajua anagari kali sana! Aliwahi kuisifia pia akidai ndiyo nzito kuliko sedan zote [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huko umempeleka mbali sana mtafutie katoto ka VW Golf 1.190cc speed 260km/h.
Ndio atajua tofauti ya ubber na gari. View attachment 1624928View attachment 1624929
Wewe nae acha vichekesho, hivi hadi afije hiyo 260kph hata atajua nipo wapi? 😂😂😂 , by the time anafika 80kph mi niko 180kph, sasa atakimbiza nini, moshi? 🤣🤣🤣😂😅
 
Hiyo 3sge siwezi sema naijua, lakini kwa hizi ninazo ziona road huwa hata sipotezi muda, huwa najikuta tu simuoni kwenye side mirror..🤣🤣
Brevis nzito mbele ya Altezza ya 4 cylinders, nimeona hio video hapo nimeshangaa kweli umechukua mda mrefu kufika walau 160, hapo tezza kashakuacha zamani
 
Brevis nzito mbele ya Altezza ya 4 cylinders, nimeona hio video hapo nimeshangaa kweli umechukua mda mrefu kufika walau 160, hapo tezza kashakuacha zamani
Ndoto za mchana hizo, nachakaza kama uji daily, hamna kitu 😅
 
Kwa koment hii itoshe kusema jamaa anatufanyia masihara.
Wewe nae acha vichekesho, hivi hadi afije hiyo 260kph hata atajua nipo wapi? [emoji23][emoji23][emoji23] , by the time anafika 80kph mi niko 180kph, sasa atakimbiza nini, moshi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28]
 
Ndugu kile chuma kinavutia aisee yaani hata ukiwa mbali unasema aisee pesa ile inatembea kweli kuna tofauti kubwa sana kati ya gari za mjapani na toyota japo pia kuna toyota nazo zinavutia.
Wakongo wanapenda magari mazuri sana mkuu,ukute linapelekwa huko mzee baba.

Kama hizi za mjapani tu jamaa wa IT hua wanafuta kisahani machine kama hio benz sijui wataipa adhabu kiasi gani huko road.
 
Hahaha, nimetoka kuchakaza hiyo WRX juzi tu usiku njia ya Mwenge kwenda ubungo, hivyo vigari vinamakelele kiasi kama hujui unaweza kuogopa, kila saa nilikuwa nasikia kinapiga kelele za mluzi kama mtu anafyonza kitu hivi, 'swwiiiiiii, swiiiiiii, swiiiii....' hadi nikapagawa, basi nikaweka 'TRC off' halafu nikawasha 'ECT Power', ndugu, nikaona mashine inaanza kupaa' hahahabah, raha sana jinsi nilivokapita kama kamesimama at 170kph, sijui aliwaza nini baada ya kuonalile tukio, hahahahahah, it ws priceless, i would like more of those WRX toys, atleast zinatoa challenge kidogo, sio kama hizo XT, akijitahidi sana unamuacha @ 120kph..., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], raha sana jamaniii
Mkuu hiyo WRX labda mbovu au aliamua akuache sababu huwezi kuichakaza WRX kwa speed hiyo ya 170...WRX stock inauwezo wa kuichapa 180 tena na kukopa kabisa...
 
Then tutaipa Brevis yenye turbo pia 😛
Yaani ki glanza chenye turbo ambayo ina produce 140 hp kama sikosei wewe unasema ili iwe fair una engine yenye 200 hp bila turbo bado uweke turbo ndio iwe fair fight? Sasa ushakuwa insecured hafla 😀
 
Mkuu hiyo WRX labda mbovu au aliamua akuache sababu huwezi kuichakaza WRX kwa speed hiyo ya 170...WRX stock inauwezo wa kuichapa 180 tena na kukopa kabisa...
Hakuna, maana ilikuwa inaonekana mpya kabisa, japo ilikuwa giza.., tena injini inaonekana ilikuwa mnato sana, ilikuwa inapiga miluzi hatari.., haikuwa mbovu hata kidogo ile...!!
 
Back
Top Bottom