Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 575
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua tofauti kati ya x3 na 3 series mkuu?Umezoea kuiona generation ipi zaid mkuu? View attachment 1625117View attachment 1625118
Jamaa hiyo Brevis yake nahisi ukweni kwake walimpamba akajua anagari kali sana! Aliwahi kuisifia pia akidai ndiyo nzito kuliko sedan zote [emoji16][emoji16][emoji16]Cherokee 4.0l ni utopolo hio usione hio 4.0l ukadhani ni gari ya maana haina mbio hata kidogo,cherokee ya maana labda utafute SRT kitu 6.4l na sijui kama bei yake utaiweza.
Janaa anakwambia hakuna brevis no. C Tz hui,hahah.
Jinsi ulivyomtuliza huyu mwamba lazima azime fegi kwanza!Unajua tofauti kati ya x3 na 3 series mkuu?
Wewe nae acha vichekesho, hivi hadi afije hiyo 260kph hata atajua nipo wapi? 😂😂😂 , by the time anafika 80kph mi niko 180kph, sasa atakimbiza nini, moshi? 🤣🤣🤣😂😅Huko umempeleka mbali sana mtafutie katoto ka VW Golf 1.190cc speed 260km/h.
Ndio atajua tofauti ya ubber na gari. View attachment 1624928View attachment 1624929
Hiyo 3sge siwezi sema naijua, lakini kwa hizi ninazo ziona road huwa hata sipotezi muda, huwa najikuta tu simuoni kwenye side mirror..🤣🤣Altezza 3sge inakuacha kama ulosimama mkuu.....
Brevis nzito mbele ya Altezza ya 4 cylinders, nimeona hio video hapo nimeshangaa kweli umechukua mda mrefu kufika walau 160, hapo tezza kashakuacha zamaniHiyo 3sge siwezi sema naijua, lakini kwa hizi ninazo ziona road huwa hata sipotezi muda, huwa najikuta tu simuoni kwenye side mirror..🤣🤣
Ndoto za mchana hizo, nachakaza kama uji daily, hamna kitu 😅Brevis nzito mbele ya Altezza ya 4 cylinders, nimeona hio video hapo nimeshangaa kweli umechukua mda mrefu kufika walau 160, hapo tezza kashakuacha zamani
unajifariji tu mkuu 😀 ilo brevis zito, glanza yenye turbo inaitoa kijasho for sure.Ndoto za mchana hizo, nachakaza kama uji daily, hamna kitu 😅
Natafuta pesa ninunue Jeep Cherokee 4,000 cc kwa ajili ya kudeal na watu kama hawa!
Wewe nae acha vichekesho, hivi hadi afije hiyo 260kph hata atajua nipo wapi? [emoji23][emoji23][emoji23] , by the time anafika 80kph mi niko 180kph, sasa atakimbiza nini, moshi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28]
Wakongo wanapenda magari mazuri sana mkuu,ukute linapelekwa huko mzee baba.
Kama hizi za mjapani tu jamaa wa IT hua wanafuta kisahani machine kama hio benz sijui wataipa adhabu kiasi gani huko road.
Then tutaipa Brevis yenye turbo pia 😛unajifariji tu mkuu 😀 ilo brevis zito, glanza yenye turbo inaitoa kijasho for sure.
Panga muda na mahali tukutane ndio utaelewa.Wewe nae acha vichekesho, hivi hadi afije hiyo 260kph hata atajua nipo wapi? [emoji23][emoji23][emoji23] , by the time anafika 80kph mi niko 180kph, sasa atakimbiza nini, moshi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28]
Mkuu hiyo WRX labda mbovu au aliamua akuache sababu huwezi kuichakaza WRX kwa speed hiyo ya 170...WRX stock inauwezo wa kuichapa 180 tena na kukopa kabisa...Hahaha, nimetoka kuchakaza hiyo WRX juzi tu usiku njia ya Mwenge kwenda ubungo, hivyo vigari vinamakelele kiasi kama hujui unaweza kuogopa, kila saa nilikuwa nasikia kinapiga kelele za mluzi kama mtu anafyonza kitu hivi, 'swwiiiiiii, swiiiiiii, swiiiii....' hadi nikapagawa, basi nikaweka 'TRC off' halafu nikawasha 'ECT Power', ndugu, nikaona mashine inaanza kupaa' hahahabah, raha sana jinsi nilivokapita kama kamesimama at 170kph, sijui aliwaza nini baada ya kuonalile tukio, hahahahahah, it ws priceless, i would like more of those WRX toys, atleast zinatoa challenge kidogo, sio kama hizo XT, akijitahidi sana unamuacha @ 120kph..., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], raha sana jamaniii
Yaani ki glanza chenye turbo ambayo ina produce 140 hp kama sikosei wewe unasema ili iwe fair una engine yenye 200 hp bila turbo bado uweke turbo ndio iwe fair fight? Sasa ushakuwa insecured hafla 😀Then tutaipa Brevis yenye turbo pia 😛
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkipata na ajali uje utupe na mrejesho.
Usinipotezee muda wewe, sina kazi za kufanya au 😅😅Panga muda na mahali tukutane ndio utaelewa.
Hakuna, maana ilikuwa inaonekana mpya kabisa, japo ilikuwa giza.., tena injini inaonekana ilikuwa mnato sana, ilikuwa inapiga miluzi hatari.., haikuwa mbovu hata kidogo ile...!!Mkuu hiyo WRX labda mbovu au aliamua akuache sababu huwezi kuichakaza WRX kwa speed hiyo ya 170...WRX stock inauwezo wa kuichapa 180 tena na kukopa kabisa...