Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Ndiyo hivyo na kuna wanaume hajui hiki chakula kimeiva au laa wanabugia tu kama ugali wengi humu mjini hawajui kupika kabisa wanakula mampotompoto ya sembe [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kabisa wengi wanabugia tu,nikila kwenye mgahawa naangalia test tu kama sijaielewa sili tena hapo.
 
chakula nisichojua kupika ni ivi vya kizungu tu kama bagger ila vingine vyote vya kibongo napika na ii ilisababishwa na single parent family kipindi nipo darasa la pili na nilikuwa kama wa kwanza maana aliyetangulia alisoma mbali na nyumbani
 
ii sijui ni kweli!![emoji15] [emoji15]
FB_IMG_15211954830187754.jpg
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] usinikumbushe mie darasa la 3 chakula kimeisha halafu mie ndiye niliye kosa kaka yangu alikuwa tayari, mama huyo njoo lete kisufuria hapo machozi kusonga sasa sufuria linatembea nilitaka hata kususa kula, siku ya 2 nikawepo, yatatu fundi mpaka sasa namkumbuka bimkubwa wangu
Ashukuriwe bimkubwa Kwa
Kumlea bint yake vzr
 
Napokea shukurani kwa niaba yake sahizi ni mtu mzima saana akipikiwa hovyo hali yule mzee anaonja tu eti mmmmm[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watoto wa skuhiz mnamjazia
Makemical wakat yy alishazoea
Vya sali
 
Tena wengi wao wamejaa humu jf ndio maana wanaume wa dar tunaweka kwanza madem ndani ili tuweze kupima mambo kadhaa ikiwemo kupika,kupiga show,tabia,usafi n.k
 
Mzigua 90 nilimwambia anipikie pilau nyama ya konokono na nazi,
Nikaambiwa " Nyoooooo ..... !! Hata aibu huna pika mwenyewe uchafu wako mxiiiiieeew..!! " kiherehere chote kiliisha.[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji4]
 
Back
Top Bottom