King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kuna wanawake wengine wanajua kupika ila wengine wanamix tu.Wewe mlaji ndiye utatofautisha radha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake wengine wanajua kupika ila wengine wanamix tu.Wewe mlaji ndiye utatofautisha radha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiyo hivyo na kuna wanaume hajui hiki chakula kimeiva au laa wanabugia tu kama ugali wengi humu mjini hawajui kupika kabisa wanakula mampotompoto ya sembe [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna wanawake wengine wanajua kupika ila wengine wanamix tu.
Kabisa wengi wanabugia tu,nikila kwenye mgahawa naangalia test tu kama sijaielewa sili tena hapo.Ndiyo hivyo na kuna wanaume hajui hiki chakula kimeiva au laa wanabugia tu kama ugali wengi humu mjini hawajui kupika kabisa wanakula mampotompoto ya sembe [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haa haa stakosa kuwa naKaribu sanaaa
Ucsahau kuja na vinywaji ili ukikuta cyo litamu upate cha kulishushia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ugali wa migahawani wapo wapika vizuri wengine biashara tu hapo niwewe tuKabisa wengi wanabugia tu,nikila kwenye mgahawa naangalia test tu kama sijaielewa sili tena hapo.
Ashukuriwe bimkubwa Kwa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] usinikumbushe mie darasa la 3 chakula kimeisha halafu mie ndiye niliye kosa kaka yangu alikuwa tayari, mama huyo njoo lete kisufuria hapo machozi kusonga sasa sufuria linatembea nilitaka hata kususa kula, siku ya 2 nikawepo, yatatu fundi mpaka sasa namkumbuka bimkubwa wangu
Napokea shukurani kwa niaba yake sahizi ni mtu mzima saana akipikiwa hovyo hali yule mzee anaonja tu eti mmmmm[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ashukuriwe bimkubwa Kwa
Kumlea bint yake vzr
Shoga ake kumbe we mpishi mzuri eeh!!!
Ila kupika nako nikipaji atiii wengine hatuna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napokea shukurani kwa niaba yake sahizi ni mtu mzima saana akipikiwa hovyo hali yule mzee anaonja tu eti mmmmm[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
JJ najua wewe haupo kwenye hilo kundiWapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]carbamazepine unajua kupika maji tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka napikaga maudambu udambu tu[emoji23]JJ najua wewe haupo kwenye hilo kundi