Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Nakwambia ni shida kuna kipindi alikaa kwa broo ikabidi niwambie huyu mpikieni hivi ukimpa vya hivi anadokoa wakwamwelewa, sasa sie tunavyokarangizya mpaka radha inapotea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aiseee mm mwenyewe nkiwa
Kijijin hua staman hata kuondoka
Maana mama anapika vya
Asili mapaka raha
 
Wapo wa michemsho tu sio wa kupika,wanaojua kupika wapo pwani zaidi...lakini ukienda mikoa ya......
Pwani ipi unaisema wewe! maana walio wengi hata ugali hawajui kupika hauivi kwa mapishi gani huo ugali kwa ving'onda au dagaa mchele? Labda wali wa nazi sawa sababu mikoa mingi nazi chache embu huyo pwani mpe kuku mzima amtengeze nami mtu wa mkoa nipe kuku uone kama kwangu hutakula mpaka pistol!
 
Yule aliyekata nazi vipande vinne na kuviweka juu ya ndizi na kupika vipi?
Huyo hana kosa hajawahi iona nazi mwenye kosa huyo aliyemletea nazi umemtoa mtu huko unategemea nini mf watu wa humu kuku wanamjua vile vipande lakini kumwandaa hawajui hata ukinda sokon dada anakwambia mkate kate kabisa, haa sasa mie siwezi nunua huyo lazima nimtengeneze mwenyewe
 
wema! huwa an
Habari zenu waungwana.


Katika pita pita zangu nikajikuta nimepata hilo swali hivi kuna wanawake ambao hawajui kupika

Hivi ni kweli hicho kitu kipo?


Na Kama kipo huyo mwanamke ameishi sayari gani ambayo ameshindwa kujua kupika?





Au kuna excuse zipo ambazo zinamfanya asijue kupika?


Na kwa mwanamke mwenyewe anajichukulia vipi kwa hali hiyo?





Waungwana hebu nisaidieni hapo kuniweka sawa.
 
Mm mama yetu alitulea kijeshi yaan mpaka chapati na maandazi napika yaan nikikaa jikoni km ww ni mwanamke hujui kupika utaomba darasa.Na hii imenisaidia kuepuka kula uchafu qa mgahawani kipindi Niko sijaoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haa haa eti kula uchafu
 
Wapo wengi sana...

Makuzi ndiyo yanamfanya mwanamke asijue kupika...

Kwa maana ya kwamba kila kitu hufanyiwa toka utotoni... na hata ukubwani mwenyewe hutafuta mtu wa kumfanyia kazi zake...


Cc: mahondaw
Nayeye mwenyewe akijitambua ataajua unaweza enda sehemu ukakuta chakula ambacho hukijui lakini unajifunza na unaelewa ni mtu mwenyewe
 
Habari zenu waungwana.


Katika pita pita zangu nikajikuta nimepata hilo swali hivi kuna wanawake ambao hawajui kupika

Hivi ni kweli hicho kitu kipo?


Na Kama kipo huyo mwanamke ameishi sayari gani ambayo ameshindwa kujua kupika?





Au kuna excuse zipo ambazo zinamfanya asijue kupika?


Na kwa mwanamke mwenyewe anajichukulia vipi kwa hali hiyo?





Waungwana hebu nisaidieni hapo kuniweka sawa.
Wapo ndio baadhi wakipika nyama.
Ya ng'ombe kuku, samaki wana shombo
Mkuu Kichwa Kichafu:
 
Back
Top Bottom