Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

Wakati hatuna hizo ndege kama zilivyo sasa yaani wakati ule shirika letu la ndege linasuasua, tuliwahi kufanya utafiti tukagundua kwamba watalii wamepungua ni kwasababu shirika letu la ndege halifanyi vizuri!? Yaani shirika kama shirika kusuasua kwake kulikuwa ni chanzo cha utalii pia kusuasua!?
 
Kwa abiria wangapi kila trip??
Wapo wengi maana mkoa wa Geita, Kigoma, Kagera na maeneo ya Shinyanga jirani na Geita kama vile Kahama wanategemea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato
 
Chatoo!!😂😁
Yule Mwenetu Anaitwa Nani Vile........
 
Tupia kapicha mkuu
 
Inawezekana labda mimi ndio mwenye kichwa kigumu. Nashauri utumie vyanzo vingine vya taarifa vya mitandaoni kupata majibu ya maswali yako. Unaweza kutumia hata google tu .. Impact of aviation on tourism.
Maandiko na data vipo.
 
Labda kama unamaanisha Ndege hawa wanaotaga mayai
 
Hayo yanaweza kuwa achieved by phased approach Ila siyo Kama Marehemu alivyokuwa ananunua madege bila plan utadhani ananunua midoli ya kuchezea wanaye
 
Unasema kweli Fast Jet walikatisha safari ya Shinyanga abiria wakawa wanaenda wanapandia Mwanza wanaorudi Shinyanga wanaletwa na basi Lao maalumu toka Mwanza. Ndege inatua na kuchukua au kuleta watu wawili. Hiyo ni biashara au bangi?.
Asante mama kubwa kwa kunisaidia kwa mfano hai.

Sisi tunataka tuiendeshe ATCL Kama mwenge wa uhuru. INSANE
 
Hizo activities kweli zipo Iringa je vipi ukiangalia na usafiri mbadala wa kwenda Iringa? Yaani Iringa ni kati ya mikoa inayofikika kirahisi kwa usafiri wa barabara kutoka Dar na Dodoma. Kiasi kwamba hata mabasi yanakuwa competitor wa ATCL.

At the end of the day unaangalia Je kuna abiria 24 wa kwenda Iringa ambao ni 40% ya uwezo wa Bombardier watakaokupa break even revenue??

Kinyume cha hapo ATCL itakuwa charity airline
 
Hayo yanaweza kuwa achieved by phased approach Ila siyo Kama Marehemu alivyokuwa ananunua madege bila plan utadhani ananunua midoli ya kuchezea wanaye
Hatua kwa hatua ingekuwa jambo jema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…