Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Umeulizwa wangapi unasema wengi, wengi hawana idadi? Toa idadiWapo wengi maana mkoa wa Geita, kigoma, kagera na maeneo ya Shinyanga jirani na Geita kama vile kahama wanategemea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato
Wengi wanaanza na ngapi?umeulizwa wangapi unasema wengi, wengi hawana idadi? toa idadi
Labda ilipeleka vilago vya Mwendazake baada ya kusafisha Ikulu kumpisha Mkazi mpya baada ya hapo hakuna madege ni Musukuma Bus Service tu mpaka Ufalme uje kuhukumu walio hai na wafu.Kuna moja ilipeleka mizigo juzi kati
Kwamba hawahesabiki? Wanahesabika, kuna idadi yao kama 10, 100,1000 na kuendelea.wengi wanaanza na ngapi?
Mwalimu wangu wa vidudu alisema vitu vikianzia viwili niseme vingi.
Wakianzia wawili niseme wengi
Kila safari inabeba abiria 70 to 80kwamba hawahesabiki? wanahesabika. kuna idadi yao kama 10, 100,1000 na kuendelea.
idadi yao ni wangapi?
Based on what statistics? Source ya data plskila safari inabeba abiria 70 to 80
Nasema hivyo kama moja ya wasafiribased on what statistics? source ya data pls
Nasema hivyo kama moja ya wasafiribased on what statistics? source ya data pls
Hahahahaa hii comment yako imenichekesha sana. Jamani...nimechekaaa...hahahaa kwamba kuna mizigo ilienda Chato🤣🤣🤣🤣🤣...Mungu anipe umri mrefu jamaniKuna moja ilipeleka mizigo juzi kati
Hahahahahah jaman spare my ribsMizigo ya mwendazake
I dont care unasafiri kwa mkokoteni, anybody huko mtaani anaweza kuja na random numbers tu. For your case nataka source ya information?nasema hivyo kama moja ya wasafiri
Mkuu mara hii hujui lolote kuhusu mafaida na ma-route ya ATCL?Uliza ATCL wenye ndege
Kwenda kufanya nini? Subiri jinsi majani yataota kwa kasi uwanjani"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!