Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Maniyuuuuii ila nataka kuacha kwa sasa ni miaka 7 imepita sijawahi kula 30000 cash labda nusu nusu na sijawah kufika hata elfu 50 na nimespemt almost mil 5 miaka yote na sina chochote.Pole, Simba amekuchania mkeka ? suka mkeka mwingine mkuu, acha makasiriko
hatariSimba kmmk kamwaga ugali asubuhi yote hii
Wewe betting imekufanyaje kuwa shoga Tena?kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.
Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi planning na kuanalyse mipango ya uchumi ili kuleta tija kwenye taifa hatimae tunadondokea kwenye ulevi mbaya kupindukia.
Ni zipi njia sahihi za kuacha kamari?
tamaaa hupelekea vijana wengiWewe betting imekufanyaje kuwa shoga Tena?
nitafanya hivyo,now npo kwenye kusoma vitabu kuondoa huu ugonjwa.Unabidi katika MAISHA uwe na ROHO ya kijahidina katika mambo ya PESA .
Ikiwa unaona wanaotoboa MAISHA ni watu wanofata kanuni za ubahili ikiwemo kujizuia mambo yote yaletayo uraibu hivyo haina budi na wewe kufata mkondo huo.
Hamna mtu kawa shoga kisa kubet bana...huyo ni shoga mwenyewe tu ππtamaaa hupelekea vijana wengi
Ok mkuu , Anza kuikataa hii Ari' from ur mind ongea kila siku I'm no longer gamblernitafanya hivyo,now npo kwenye kusoma vitabu kuondoa huu ugonjwa.
Oooh My God. Mkuu wewe tuachie sisi kituManiyuuuuii ila nataka kuacha kwa sasa ni miaka 7 imepita sijawahi kula 30000 cash labda nusu nusu na sijawah kufika hata elfu 50 na nimespemt almost mil 5 miaka yote na sina chochote.
kuwa na heshima kijana.Hamna mtu kawa shoga kisa kubet bana...huyo ni shoga mwenyewe tu ππ
Mrudie Mungu naye atakutoa katika hicho kifungo cha kubeti.kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.
Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi planning na kuanalyse mipango ya uchumi ili kuleta tija kwenye taifa hatimae tunadondokea kwenye ulevi mbaya kupindukia.
Ni zipi njia sahihi za kuacha kamari?
With my eyes I witnessed two guys conducting homosexual because of bettingHamna mtu kawa shoga kisa kubet bana...huyo ni shoga mwenyewe tu [emoji23][emoji23]