Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

Aliyeanzisha jamiiforum abarikiwe sna maana unaweza kuja humu ndani na makasiriko bt ukipitia komenti za watu unaanza kufurah kabsa
 
Mazoea hujenga tabia, jitahidi kuifanya tabia isiwe ulaibu mkuu.

Kataa pepo la kubet.
 
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.

Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi planning na kuanalyse mipango ya uchumi ili kuleta tija kwenye taifa hatimae tunadondokea kwenye ulevi mbaya kupindukia.

Ni zipi njia sahihi za kuacha kamari?
Acha ujinga kuna NBA Tia buku uondike na 50k

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hivi ujue unakaribia kuacha.
Kwanza kabisa ujue Betting ni njia ya kuutafuta umasikini kwa nguvu nyingi.
Kaa soba ikiwezekaba nenda kajitenge kwa miezi kazaa vijiji vya mbali huko bila kutumia simu.
 
Ni ngumu kuacha ila unaweza fanya jambo ambalo litakufanya usijisikie vibaya unapobet na kupoteza.

Mfano, unaweza kujiwekea kuwa kabla hujabeti pesa yoyote, 50% ya hiyo pesa unamtumia mzazi, au unanunua kitu muhimu au una lipa kadeni fulani, au unaweka sehemu ambayo huwezi ifikia.

Fanya hivyo kwa miezi kadhaa huku ukiendelea kuiongeza hiyo 50% mpaka ifike 70%. Ikifika 70% we endelea kubet hiyo 30% utashangaa tu kuna siku utaona ni ujinga utaacha na hata usipoacha hutajisikia kuwa umepoteza 100% na ile 70% itakuwa imefanya kitu, ikitokea umeshinda jitahidi 100% ya ushindi inaenda ilipoenda 70% sio 30%.

NB: Zile bet unazoshinda jitahidi usibet, fanya kitu kingine kabisa na ukiona unashindwa basi fata mwongozo ule ule wa 70% 30%.
 
poa
 
Back
Top Bottom