Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

Kinachosukuma watanzania kubeti 90% Ni umaskini Yani mtu anatarajia apate kitu kimtoe. Sasa unataka kuacha kubeti je umesha kuwa Tajiri? Kama hujawa bado kutakiwa na kitu Cha kukuvuta huko ujaribu bahati yako,😆
tatizo ni shida hizi zinatusumbua
 
itakua ww ni clone yangu.
umeandika kile nilikua nafanya wakati nacheza kamari.
 
Hii njia ni ngumu kinyama.
 
itakua ww ni clone yangu.
umeandika kile nilikua nafanya wakati nacheza kamari.
Basi wewe ni smart. Mtu smart yoyote akishakuwa mlevi wa kamari au betting hatua ya kwanza ya kuacha ni kukubali kuwa ule ni ulevi na huwezi amua tu kuwa naacha, baada ya hapo lazima atakuja na strategy ya kupunguza madhara ya huo ulevi mpaka siku anauacha kabisa.
 
Hata kilimo ni betting, kusoma hadi chuo ili uajiriwe nayo ni betting,kuhonga pesa ili mwanao aende jkt ili baadae aende jwtz nayo betting
 
nitaiga hii

naona tatizo langu kubwa ni hizi virtue,keno na kindege but soon nitajitahidi
 
Msiache kwanza Hadi na mm niingie niwe nawasaidia kucomment vilio kwenye Uzi wenu🥲😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…