Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....

Update.............
Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua forwarded kwa mhusika, barua zote na communication zote ziko kwenye mfumo wa tracking Kila Mtu anasoma. Hii nimeipenda.
 
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Nilishawahi kutuma email Halimashauri ya mji wa Kibaha .. hadi leo hawajajibu email yangu ... nadhani kula aina ya wanaojibiwa email
 
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Ruka nao kwenye mitandao ya kijamii, huko angalau wanaweza kuchungulia
 
RITA
Hawa ni bure kabisa hada kwenye email.
TANESCO sijui wanajiwekea simu za nini. Ki ukweli TANESCO ukitaka simu yako ijibiwe mpigie meneja kwenye mobile yake halafu ataongea na hao wasukule wakemwenye.
VODACOM Kama una muda subiri.
DSTV shit
DAWASCO angalau
NSSF shit
 
Back
Top Bottom