Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....


Update.............
Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua forwarded kwa mhusika, barua zote na communication zote ziko kwenye mfumo wa tracking Kila Mtu anasoma. Hii nimeipenda.
Hapana
 
Back
Top Bottom