Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanyakazi wa serikalini na email wapi na wapi?Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Nimeishia kucheka tuWafanyakazi wa serikalini na email wapi na wapi?
Hahaha zitakua za kuzimuMh email m BBB li zile simu zao tu za mezani mtihanj, kuna tender moja ya umeme wa solat iliwahi kutangazwa shinyanga alafu kupata zile tender document inabidi uwasiliana na namba zao kazi haikua ndogo ilibidi kutuma mtu physicaly maana zile namba sijui hata kama zilikua ni za dunia hii
Ukiwa mkali utakutana na kisirani Cha secretaryMoja ndio iliniboa.
Napiga simu ambayo wameiandika kwenye tovuti yao anapokea raia na hayuko familiar na hiyo taasisi.
Nakwenda kwenye ofisi zao location waliyoweka mtandaoni ofisi kumbe zilihamishwa kitambo
Wanasema eti hawafanyi kazi Kwa emailWizara nyingi hazijibu email wala kupokea simu. Nawaza huko ofisini huwa wanafanya nini... ndio maana hii nchi haitakaa ipige hatua za ukweli katika maendeleo.
Waliziweka za nini?Wanasema eti hawafanyi kazi Kwa email
Utashangaa hata wale wa TTCL wanauza mabando ya internet, lakini when it comes to emails..!! HatariNimeishia kucheka tu
Wamekaririshwa sijui kitu gani wallah..!!Wanasema eti hawafanyi kazi Kwa email
Hatari sanaUkiwa mkali utakutana na kisirani Cha secretary