Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

kwa Tanzania hivi vitu bado sana ila tunaiga tuonekane na sisi tumo ila kiuhalisia bado sana.. na sio seikli tu hata baadha ya mashirika binafsi unaweza ukakesha unasubili jibu... Nilishawahi tuma tuna jumbe kwnye tovoti ya wizara fulani kupitia email, na sehemu ya public comment ila hakuna hata sehemu moja waliyojibu
 
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Unakikuta kibibi na miwani yake anabofya facebook kwa computer akimaliza anarudi youtube hizo email sidhani hata kama password wanazikumbuka... kuna halmashauri kila siku wanahitaji taarifa za watumishi itakua kukuhudumia kwa email? Hahahaha
 
Tra wako vizuri
Wcf wako vizuri
TANESCO wako vizuri
Ikulu wako vizuri
Nssf hovyo
Polisi wako vizuri
Fire wako vizuri
Tamisemi hovyo
Takukuru hovyo
Udsm wako vizuri
Muhimbili wako vizuri
Udom hovyo
Sua hovyo
HESLB hovyo
Ttcl hovyo
Atcl wako vizuri
Ewura hovyo
Latra wako vizuri
 
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Ndo Tanzania yetu😏
 
Wanajibu ila kwa kujiskia Sana.Jambo kama sio official na mtu anataka ufafanuzi yaani hadi waje wakujibu ni shida..

Ukiwapigia simu huwa wanakuwa wakali yaani hawajiamini wanajihami kwa majibu ya shortcut na kukatisha tamaa..

Sababu kubwa Wana mentality hasi na pia wengi wao ni vilaza.
 
Ukute umepiga sasa karibia na Lunch time au Ile saa nane na nusu au tisa....
 
Back
Top Bottom