Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nilishawahi kutuma email Halimashauri ya mji wa Kibaha .. hadi leo hawajajibu email yangu ... nadhani kula aina ya wanaojibiwa emailInasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Ruka nao kwenye mitandao ya kijamii, huko angalau wanaweza kuchunguliaInasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Shida yako ushaipatia ufumbuzi?Nilishawahi kutuma email Halimashauri ya mji wa Kibaha .. hadi leo hawajajibu email yangu ... nadhani kula aina ya wanaojibiwa email
Serious?Tanesco
Subutuuuuu yako......hahaahaa nimekutumia PMUlituma email gani? Emu itupie hapa
Wale masekretari hawajui hata kutumia internetNilishawahi kutuma email Halimashauri ya mji wa Kibaha .. hadi leo hawajajibu email yangu ... nadhani kula aina ya wanaojibiwa email
LabdaRuka nao kwenye mitandao ya kijamii, huko angalau wanaweza kuchungulia
Hahahha ila tuko nyuma sanaZipo taasisi kadhaa za serikali ziko vizuri tu kwenye kujibu emails na simu.
Ila suala hili ni vyeme liwekewe mkazo sana tu.