Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Sana Sana mm naonaga ukitumia posta kidogo nafuu inakuwepo
 
Shukrani sana
 
Unakikuta kibibi na miwani yake anabofya facebook kwa computer akimaliza anarudi youtube hizo email sidhani hata kama password wanazikumbuka... kuna halmashauri kila siku wanahitaji taarifa za watumishi itakua kukuhudumia kwa email? Hahahaha
Hahahahaaha Kaka Habari za miaka Ndugu Yangu
 
Yeah TANESCO wewe mpigie tu Manager kwa Mobile yake, akifanikiwa kupokea basi itasaidia sana
 
Ili ukifika waseme faili lako hatulioni
 
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
CHACHE SANA ZINA HUO UADILIFU
kuna hawa MCT huduma kwa eateja ndio worst, wameweka namba 3 ila mbili zinaita mpaka zinakata hawapokei, moja anapokea mdada anakusikiliza kama sekunde kumi kisha anakata, nimejaribu kama mara tatu anayepokea ni hiyo huyo na baada ya sekunde kumi anakata bila suluhisho lolote, wameweka email ila ina wki mbili hawajajibu chochote, hizi ofisi za umma zaidi ya kupokea tozo, malipo na fine huduma kwa wateja kwa njia ya mtandao hakuna, unalazimika kufunga safari mpaka ofisini, nyie MCT kama mpo humu jirekebisheni. mnanilazimisha nije makao makuu kutatuliwa shida yangu ambayo inaulizia tu baadhi ya taratibu wakati mna ma contact yote hayo kwenye website
 

Attachments

  • Screenshot 2022-07-19 at 10-30-59 Contact Us.png
    27.7 KB · Views: 6
Pole sana Mkuu, I can feel it kabisa. Sometimes Kuna issues za kutatuliwa kwa simu tu au email ila sasa, dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…