KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mi zinaniletea mafua, mnatumia mbinu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yakeKuna moja inaitwa "Yara" nzuri sana
Hakuna marashi ya maiti, kwani maiti si alikuwa mtu hai kama wewe? Naweza kumpulizia mpendwa wangu aliyetangulia manukato yoyote hata nayotumia mimi.Dah hizi habari za perfume zimenikumbusha tukio moja la ovyo sana:
Nipo mbezi mwisho nimepanda Costa naelekea bunju huko,
Kuna bibi mmoja kapanda pia na vifurushi vya mizigo mizigo mkononi kaja kaa pembeni yangu..... Sikumjari sana nikaendelea na mambo yangu, mara ghafla naanza kuhisi hewa maeneo yale inabadirika kwa kasi Sana. Ikabidi niache shughul zote nifanye ujasusi chapchap kujua what's wrong, baadae nikagundua yule bibi kajipulizia marashi ya maiti
Niliitambua hyo harufu sababu muda si mrefu Kuna msiba wa jamaa yangu ulitokea maeneo flani, tulipokuwa kwenye harakati za kumstiri harufu hiyohiyo ndio alipuliziwa kwa ukali sana.
Nikajua tu Bibi wa watu itakuwa alikutana na machinga wakamuuzia mzigo bei ndogo akaona kawapiga... Kumbe anauziwa perfume ya waliotangulia mbele za haki!!!
Wanawake ambao hawana hadhi ya kudate na wanaume wa hadhi lazima wajistukie, hawajiamini.Ukipishana na mwanaume ana harufu ya kukera ndio unaona sawa? Au na hii majibu huna??
Ulipanda mwendo kasi , vipi gari yako ilikua service.??.Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Mwanamke akisikia harufu ya hii...huwaka tamaa ya kuchapwa nao 🙂
Sawa.... Ila jitahd kuelewa logic iliyojificha nyuma ya marash ya maiti.Hakuna marashi ya maiti, kwani maiti si alikuwa mtu hai kama wewe? Naweza kumpulizia mpendwa wangu aliyetangulia manukato yoyote hata nayotumia mimi.
Duty-free Airport xa kumwagaBaada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
Mimi si mtoto wa 2000, samahani boss.Sawa.... Ila jitahd kuelewa logic iliyojificha nyuma ya marash ya maiti.
Masaa machache baada ya mtu kufariki, mwili huanza kutoa harufu ambayo haistahimiliki.... Hvyo watu hutafuta marashi makali ili kuifunika ile harufu kwa kipind kifupi cha taratibu za hapa na pale kabla ya kuzikwa.
Sasa wewe chukua hyo body spray yako uje umpulizie mait..... Ukute unabishana hapa ila hujawah hata kuosha maiti, wala kukaa nayo ndani zaidi ya masaa mawili🚶
Watoto wa 2000 mkishajua kuunga bandle tu mnakuwa wajuaji sana
Sawa asante kwa kuelewa. Pia samahan kwa kukuhukum tofauti bossMimi si mtoto wa 2000, samahani boss.
Ungeeleza kuwa mtu kajipulizia harafu kali ningekuelewa....kuhusu kakaa na maiti nimekaa na mfu si mmoja.
Tatizo Watu wengi wanazoKwa sasa CREED AVENTUS ni perfume bora zaidi kwa karne hii ya sasa
Research yako ilihusisha sampuli ya wanaume wangapi🤔Wanaume wengi wanaotumia hii perfume ni waongo waongo
Ibajitambua vizuri tu mwanaume Ukitaka uzinase pisi vizuri husihangaike kuzipa Hela jiweke vizuri weweIyo pisi iliyokushobokea kisa Perfume nayo haijitambui.
Kujipenda tu mkuu kuwa mchafu sio kipimo Cha uanaumeDume zima limevaa macheni shingoni kama minyororo ya KUFUNGUA Mbwa, mikononi mafurushi ya mipete, meno limeweka coating za silver halafu limejimwagia manukato kama ya kuzikia maiti linapita barabarani ? Hovyo kabisa
Duka gani Chief?I'm still on oldies. Nikienda zangu mitaa ya Mwanjelwa na Sido nanunua zangu Royale Blue Perfume for men au Romance Perfume for men kwa 25,000-27,000 nanukia safi and very cool.
Na pm umeweka ban?Nalipiaje tangazo wakati nimeficha jina la duka na nimeonyesha bei ili maswali yasiwe mengi mimi ni mteja tuu
Kuna duka linatazama stand ya zamani ya kwenda Uyole anauza dada fulani then nikikosa pale kuna maduka mawili Sido. La kwanza limo ile njia kama umetoka kwenye kivuko unaingia Sido barabara ya kwanza ndani unakunja kushoto then upande wa kulia duka la pili nafikiri yupo jamaa ana kiduka kidogo ila kiko full bei zake ni rafiki sana.Duka gani Chief?
Nani kakuambia kujipulizia manukato ni usafi?Kujipenda tu mkuu kuwa mchafu sio kipimo Cha uanaume
Mmh, bei sio realistic.., hata kama inanukia vipi..Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303