Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Mitaani kibaooo, kkooo kule ndo balaa, sinzaa huko zimejaaa.....mbna kibao tu hta mangi nahisi anazo sahivii😂😂
Poa nikipita kariakoo nitaangalia ili ninukie vedi #fake till I make it😂😂
 
Sema zile za bei ghali zina unyama flani hiviii....tutafute tu mapeneee aloo huku tunafwaa fwaaa na kuruthumuuuu ya bukuu😁
Poa nikipita kariakoo nitaangalia ili ninukie vedi #fake till I make it😂😂
 
Sema zile za bei ghali zina unyama flani hiviii....tutafute tu mapeneee aloo huku tunafwaa fwaaa na kuruthumuuuu ya bukuu😁
Kuruthumu Ile kitu sio hata kwa ngumi sipaki dah 😂ni Kali hatari Bora nibaki fog
 
Kuruthumu Ile kitu sio hata kwa ngumi sipaki dah 😂ni Kali hatari Bora nibaki fog
Huyu apumzike sahivi....tuhamie kwa hawa wapendwa wetu wa kumimina kama juisi ya muwa kwa bukuu😂😂😂

Sijajua tu uhalali wake kiafya mana haya madude hayaaa mmmmhhhh
 
Mimi sio mpenzi wa haya madubwana kabisa ila nimewahi kukutana na binti mmoja Arusha alikua ananukia marashi poa sana hadi nikavutiwa

Nilipo muuliza jina na marashi haya akasema ina ALOPE kama sijakosea jina

Bado naitafuta hiyo perfume ya Alope na sijui ntaipata wapi na bei zake zipoje?
Inaitwa ELOPE
 
Tatizo sio perfume ya laki 3 ,tatizo anafanya nini kwenye daladala na perfume ya laki 3😂bora angejichanga anunue hata ki baby walker
Wanaonunua hizo hawapandi daladala.
 
Mimi sio mpenzi wa haya madubwana kabisa ila nimewahi kukutana na binti mmoja Arusha alikua ananukia marashi poa sana hadi nikavutiwa

Nilipo muuliza jina na marashi haya akasema ina ALOPE kama sijakosea jina

Bado naitafuta hiyo perfume ya Alope na sijui ntaipata wapi na bei zake zipoje?
Kumbuka pia kwamba uzuri wake pia unategemea hali ya hewa..uliona mzuri Arusha (kuna baridi) lakini ukija kuitumia Dar isiwe hivyo(joto kali)
 
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje

Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)

View attachment 3137303
hela yote hiyo afu unapanda mwendo kasi tena!
 
Back
Top Bottom