binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ye ndo Teacher kondeboikominambawani Balesa! (Kama haujaelewa ujue ejigoo) 😂BK acha utani basi, halafu uache kabisa kumfundisha Atoto haya maisha😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye ndo Teacher kondeboikominambawani Balesa! (Kama haujaelewa ujue ejigoo) 😂BK acha utani basi, halafu uache kabisa kumfundisha Atoto haya maisha😅😅😅😅
Ejigoo, sina nilichoelewa..watoto wa afumbili nyie!!Ye ndo Teacher kondeboikominambawani Balesa! (Kama haujaelewa ujue ejigoo) 😂
Mwanaume unajipaka perfume umekuwa maiti?Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Huko juu nimetaja perfume zangu mbili pendwa hazizidi 27K Royale Blue na Romance hazi. Nikiwa sina pesa kabisa Everyone ingawa siku hizi wameichakachua lakini inaniondolea harufu ya kwapaBado parefu sana
Mwanaume usipake hata mafutaMwanaume unajipaka perfume umekuwa maiti?
Tangazo la kitalaam Sana hiliBaada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Gucci flora, my way, au kamix ukipata wanaomix vizuri unapata harufu uniqueTuambizane na perfume nzuri za kike mi nshachoka kupaka miski😅
Dume zima limevaa macheni shingoni kama minyororo ya KUFUNGUA Mbwa, mikononi mafurushi ya mipete, meno limeweka coating za silver halafu limejimwagia manukato kama ya kuzikia maiti linapita barabarani ? Hovyo kabisaMwanaume usipake hata mafuta
Mkuu parfum ni kama nguo,,so unapoivaa mwilini ni kama umevaa nguo fulani special.pafyumu laki 3 na ushee alafu unapanda mwendokasi kuna kitu mahali hakipo sawa
Kanauzwaje haka
First of all perfume ikishakuwa chini ya 100,000/= hiyo tena siyo pafum hayo ni maji na zaidi sana amini mkuu,original ni original tu anayetumia original na anayetumia fake wakikatiza mahali wa original atajiamini zaidi kuliko wa fake.Achana nae huyo.. feki yake ipo Tsh 35,000 tu na huwezi jua tofauti 😀
Ah bana we.. sasa kama unatumia perfume ya laki 4 halafu hamna mtu anaejua kama perfume yako ni ya ghali hayo si matumizi mabaya ya hela..?First of all perfume ikishakuwa chini ya 100,000/= hiyo tena siyo pafum hayo ni maji na zaidi sana amini mkuu,original ni original tu anayetumia original na anayetumia fake wakikatiza mahali wa original atajiamini zaidi kuliko wa fake.
Any way,tuendelee kufarijiana huku tukiendelea kupambana kuongeza kipato siku na sisi tununue hizo za malaki kama siyo mamilioni.