Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Mi natamba na Fog ya 10000 huo mtaji sio poa 🙌🙌
20241015_112839.jpg

Kama hii? Katika matoleo yote ya Fog, hii kwangu ndio The best. Bahati mbaya Perfume zake ni adimu, zimejaa Body Sprays zake.
 
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje

Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)

View attachment 3137303
Weka harufu yake tucomment
 
Back
Top Bottom