Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Daaah inahuzunisha sana.Unajibu ukiwa minnesota aù hapa hapa kwa waswahili wenzio hapa tunachopata original ni hewa tu yaliyabajua yote fak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah inahuzunisha sana.Unajibu ukiwa minnesota aù hapa hapa kwa waswahili wenzio hapa tunachopata original ni hewa tu yaliyabajua yote fak
Ngoja nikiipata nyingine utanipa address yako nikutumie 🤣🤣🤣Nimeona notes zake inaonyesha inanukia vizuriii
😂😂sawa mkuuNgoja nikiipata nyingine utanipa address yako nikutumie 🤣🤣🤣
DOGO UMEKOSA UBUNIFU.HIZI MBINU NLIKUWA NATUMIA MIAKA YA 2000S WEWE UNATUMIA 2020S? UMECHELEWA SANA. UNAPIGA PIGA PICHA MADUKA YA PERFUME UKITAKA WATU WAONE PRICE TAG. USHAMBA WA KIZAMANI SANABaada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Wanaume huwa hatusemani hadharani umekosea sana MkuuDOGO UMEKOSA UBUNIFU.HIZI MBINU NLIKUWA NATUMIA MIAKA YA 2000S WEWE UNATUMIA 2020S? UMECHELEWA SANA. UNAPIGA PIGA PICHA MADUKA YA PERFUME UKITAKA WATU WAONE PRICE TAG. USHAMBA WA KIZAMANI SANA
Afu tisa mia na tisini na sita tu! 😆Umesema bei gani?
996,000..do you mean this?Afu tisa mia na tisini na sita tu! 😆
Niache bana!996,000..do you mean this?
Wanaume huwa hatuna tabia ya kusengenyana au kuwa wanafiq. Tunaambiana ukweli.Wanaume huwa hatusemani hadharani umekosea sana Mkuu
Ulijuaje, mbona mi sijawa na mgogoro na kikwapa wala😅Natural scent ndio mpango si ndio?🤣🤣🤣
Kadownglod huyo hanaujanja huopafyumu laki 3 na ushee alafu unapanda mwendokasi kuna kitu mahali hakipo sawa
🤣🤣🤣🤣🤣Ulijuaje, mbona mi sijawa na mgogoro na kikwapa wala😅
Kinaleta mzuka sana babe, muhimu kwapa liwe shaved kwa viwango🏃🏃🏃🏃🏃😅🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu huko, kwahiyo mimi ndio ninukie kibeberu!!!
Aaah we mpare sidanganyiki🤣🤣🤣Kinaleta mzuka sana babe, muhimu kwapa liwe shaved kwa viwango🏃🏃🏃🏃🏃😅
Itakuwa ukipulizia nguo wk nzima harufu inabaki.Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303