binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Asante, kubwa au ndogo? Kama ni kubwa kuna mtu anahitaji.Kumbe hadi JF kuna wateja wetu! Hongera na Asante Binti kiziwi 🫶🏼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, kubwa au ndogo? Kama ni kubwa kuna mtu anahitaji.Kumbe hadi JF kuna wateja wetu! Hongera na Asante Binti kiziwi 🫶🏼
Iyo pisi iliyokushobokea kisa Perfume nayo haijitambui.Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Hii nilipewa zawadi imesifiwa sana, halafu mimi sijaielewa kabisa.Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Uko sawa Mimi natumia Tool Box 45k kwangu ni unyama sanaAchana nae huyo.. feki yake ipo Tsh 35,000 tu na huwezi jua tofauti 😀
😏Achana nae huyo.. feki yake ipo Tsh 35,000 tu na huwezi jua tofauti 😀
Unaamini nini mwanaume akiwa ananukia??Mtoto wa kiume unataka unukie ili iweje?? Una MBA mwilini au??? 🤔 🤔 🤔.
Perfume inamfanyaje mtu kuwa muongo? Hizi tuhuma zimezidi sasaWanaume wengi wanaotumia hii perfume ni waongo waongo😂
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303
Aah naikubali miaka 100 kitambo sanaNa wala hata sio lazima wala sio muhimu mkuu wewe jiamini bila shaka kabisa. Wenzako hata hiyo ya 10k hatutumii.
Ĥeko mzalendo wa kweliKuna mbwiga mmoja aliwahi kunitumia zawadi ya perfume kumbe inauzwa laki nane dukani,nilikuwa najipulizia huku nataka kulia
Kurusumu mkuu, hutojutiaTuambizane na perfume nzuri za kike mi nshachoka kupaka miski😅
Unajibu ukiwa minnesota aù hapa hapa kwa waswahili wenzio hapa tunachopata original ni hewa tu yaliyabajua yote fakHaujipendi ?
Kama unajipenda, kwanini unajipenda unatumia vitu cheap cheap visivyo na ubora na vilivyopigwa marufuku ?