Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Haijaandikwa de 'toilete!!?au hujui kifaransa!?
IMG_20241028_174906.jpg
 
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje

Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)

View attachment 3137303
Yaan perfume ninunue 345000! Mwanaume ninukie vizuri nmekua 🍒🚮
Acha nife na ubaili wang😀
 
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje

Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)

View attachment 3137303
Achana ns Hizo . Ingia mtaani na kikopo kwa wale jamaa wanso changanya perfume kisha weka aina 20 tofauti. Hiyo harufu utadhani peponi utawaletea wana JF ushuhuda
 
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje

Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)

View attachment 3137303
Huo ni mshahara wangu mie..!
Acha masikhara basi.
Hali za watz zinajulikana.
 
Back
Top Bottom