Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Hakuna marashi ya maiti, kwani maiti si alikuwa mtu hai kama wewe? Naweza kumpulizia mpendwa wangu aliyetangulia manukato yoyote hata nayotumia mimi.
 
Ukipishana na mwanaume ana harufu ya kukera ndio unaona sawa? Au na hii majibu huna??
Wanawake ambao hawana hadhi ya kudate na wanaume wa hadhi lazima wajistukie, hawajiamini.
 
Ulipanda mwendo kasi , vipi gari yako ilikua service.??.
 
Hakuna marashi ya maiti, kwani maiti si alikuwa mtu hai kama wewe? Naweza kumpulizia mpendwa wangu aliyetangulia manukato yoyote hata nayotumia mimi.
Sawa.... Ila jitahd kuelewa logic iliyojificha nyuma ya marash ya maiti.
Masaa machache baada ya mtu kufariki, mwili huanza kutoa harufu ambayo haistahimiliki.... Hvyo watu hutafuta marashi makali ili kuifunika ile harufu kwa kipind kifupi cha taratibu za hapa na pale kabla ya kuzikwa.

Sasa wewe chukua hyo body spray yako uje umpulizie mait..... Ukute unabishana hapa ila hujawah hata kuosha maiti, wala kukaa nayo ndani zaidi ya masaa mawili🚢

Watoto wa 2000 mkishajua kuunga bandle tu mnakuwa wajuaji sana
 
Duty-free Airport xa kumwaga
 
Mimi si mtoto wa 2000, samahani boss.
Ungeeleza kuwa mtu kajipulizia harafu kali ningekuelewa....kuhusu kakaa na maiti nimekaa na mfu si mmoja.
 
Dume zima limevaa macheni shingoni kama minyororo ya KUFUNGUA Mbwa, mikononi mafurushi ya mipete, meno limeweka coating za silver halafu limejimwagia manukato kama ya kuzikia maiti linapita barabarani ? Hovyo kabisa
Kujipenda tu mkuu kuwa mchafu sio kipimo Cha uanaume
 
I'm still on oldies. Nikienda zangu mitaa ya Mwanjelwa na Sido nanunua zangu Royale Blue Perfume for men au Romance Perfume for men kwa 25,000-27,000 nanukia safi and very cool.
Duka gani Chief?
 
Duka gani Chief?
Kuna duka linatazama stand ya zamani ya kwenda Uyole anauza dada fulani then nikikosa pale kuna maduka mawili Sido. La kwanza limo ile njia kama umetoka kwenye kivuko unaingia Sido barabara ya kwanza ndani unakunja kushoto then upande wa kulia duka la pili nafikiri yupo jamaa ana kiduka kidogo ila kiko full bei zake ni rafiki sana.

Ukisogea mbele kidogo kama unaenda kwa shariff makoba upande wa kushoto ukivuka kibarabara kinachocross kuna duka linakuwa na mabox mengi nje. Hao wana bei rafiki za perfume kwa mtanzania wa kawaida. Hizo nilizotaja hasa ninayoipenda Royale Blue for men ya Rasasi wanauza hadi 25K kwa sido ndani na 27K kwa wale jamaa wa stand.
 
Mmh, bei sio realistic.., hata kama inanukia vipi..

β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-


View: https://youtube.com/shorts/KGEQ2OcEPNo?si=__BGRghuliVFHAuA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…