MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Naendesha lkn ni mtu wa mwendo poa
Yah kuvuta moto kunadanganya sana unaona huendi inabidi uongeze tu.Ninachokijua mimi pikipiki haina ufundi ipo siku wataona ubaya wa hicho chombo
Vifo vya Toyo Arusha ni vingi sanaWanazipaisha na zinawaua haswa
hhahaaaaa
hahahaaaaSasa mbona sijaona wakikimbia hapo
Nimewahi endesha pikipiki niliposhuka nikajiuliza, je ni mimi ndo nilikuwa naendesha vile?hhahaaaaa
Umetumia kigezo gani kuwajumuisha wote kuwa hawana akili sawasawa? Saa zingine Kuliko uandike nonsense and look like a fool, it’s better to just shut up.Arusha kitu wanachopenda kuprove ni kuwa hawana akili sawa sawa.
Katika kitu huwa kinanistaajabisha ni hicho. Yaani mtu ana hangaika kukuonyesha kwa maneno na vitendo namna ambavyo hana akili sawa sawa na anaona ni sifa muhimu ya kumfanya aonekane katika jamii...
Hahaaaa ina kamuzimu nini?Nimewahi endesha pikipiki niliposhuka nikajiuliza, je ni mimi ndo nilikuwa naendesha vile?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app