Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro.
Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki

Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio mmoja sasa ni wengi karibia wote.

Hiyo ni dalili moja wapo ya watu wasiojitambua..!

Huwezi risk maisha sababu ya sifa za kipumbavu.
 
Back
Top Bottom