ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,069
- 5,411
Hao sio kina matonya useme unanyoosha mkono hela inaingia ni ma fly kechazArusha hii hii iliyojaa vijana wala gomba kutwa nzima na kusubiri kuomba hela kwa watalii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao sio kina matonya useme unanyoosha mkono hela inaingia ni ma fly kechazArusha hii hii iliyojaa vijana wala gomba kutwa nzima na kusubiri kuomba hela kwa watalii
Em huko😂😂😂 unanichezea hapa😔Sema kweliiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbombo ngafuuuYaani natamani kila kukicha nibadilishe🤣🤣🤣🤣
BTW how are you?
Miss you.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Em huko[emoji23][emoji23][emoji23] unanichezea hapa[emoji17]
Lema watamuelewa tuu eventually [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu hao uliowaita wakubwa hawapendi kabisa ukweli, yaani ingekuwa ni amri yao hiyo wodi wangetamani wala msiseme hao ni majeruhi wa Toyo, huu ujinga wa kupenda kuficha mambo sijui utaisha lini.Nilikuwa hapo Arusha 2018-2021 hapo Mount Meru kuna ward waliipa jina kabisa ward ya Toyo maana wahanga wa ajali za pikipiki walikuwa wengi mno mpaka kuna mkubwa mmoja akakasirika kwa nini ward ya hosp inaitwa Toyo. Lakini halikuwa jina rasimi
Majirani kumbe, mimi nilikuwa OLD MOSHI SEC SCHOOL...Hapana me ni zao la moshi technical(moshi ufundi)
Hizi ni mbwembwe tu wala hawakimbii.Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro.
Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki
Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio mmoja sasa ni wengi karibia wote.
Hiyo chombo kadiri unavyoizea ndivyo inakupa moody na kuamua uifanyeje yaani.Siku ukiendesha pikipiki utafanya hivyo pia
🤣🤣 Anataka nitibuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hio bila zoezi na kujitoa ufahamu husubutu fanya huo mchezo kabisa wa kunyanyua tairi maana kuna mafala wananyanyua mpk bajaji tairi
Sipati picha ulivyo kuwa unapelekwa mpera mpera kama mtu aliebeba gombaNiliwah kuchelewa ndege nikaamua nichukue boda kutoka Arusha kwenda Kia aisee nilipofika nilipiga goti nikamshukuru Mungu yule ni mvuta bangi sio binadam wa kawaida
Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Anataka nitibuke
🤣🤣🤣🤣🤭Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]