teamasala
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 615
- 633
Arusha sio boda boda tuu hata hao wanaoemdesha magari wengi wao hawana fair na kutukana ni jadi yao awe mzee au kijana..Arusha ndio mji nimeshangaa unakuta machalii wanatukanana bara barani watu wanaona kawaida tuu na hakuna anaeshangaa wewe ukishangaa ndio wanakuita mang'aa...
[emoji38][emoji38]umenikumbusha mbali na hili neno mang'aa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]