Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Kwanza declare kama umewahi tumia bangi ya Arusha.. kama hujawahi basi tuulize sisi
 
Nawapenda machalii wa chuga, wako real, hawafake, wanatumia mjani, wanapeleka moto kivyedi vyedi.

Hilo la kukimbiza boda sio shida zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrembo karibu Arusha uje uinjoy
 
Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro.
Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki

Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio mmoja sasa ni wengi karibia wote.

ipo siku watamwelewa Lema wakiwa wamekwisha chelewa,wale watoto waarusha na wenyewe wanatumia petroli kama pikipiki
 
Wasukuma
Vijana wa Arusha
Serikali inabidi kuwekeza Nguvu kubwa kuwatoa katika utumwa wa fikra maana kichwani hawanga kitu Kabisa
Kweli kabisa Mkuu 🤣
Hasa hawa wasukuma🤣🤣,heri wenzao wanavuta bangi angalau unajua shida ilipoanzia.
Sasa hawa wasukuma nadhani hata bangi hawavuti ila ndio hivyo tena🤣🤣
 
Em achana na mdogo wangu; chugga boy
Mkoa umejaa wavuta bangi tupu
Si wazee Wala vijana[emoji1787]
Juzi juzi tu kulikuwa na Uzi wa stand ya Arusha.
Wanasema hawajajengewa stand kutokana na upumbavu wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli kabisa Mkuu [emoji1787]
Hasa hawa wasukuma[emoji1787][emoji1787],heri wenzao wanavuta bangi angalau unajua shida ilipoanzia.
Sasa hawa wasukuma nadhani hata bangi hawavuti ila ndio hivyo tena[emoji1787][emoji1787]
Soon

Utapata

Unachokitafuta
 
Ndio zao hao, au hata wasiokuwa na magari. Jamani wanavuka barabara roughly sana, hawaogopi magari. Wanataka wao ndio gari impishe.
Hii kitu acha tu mkuu sasa hii tabia huku pwani ndio usiseme si wadogo si wakubwa wote baba mmoja mama mmoja hawapishi au kama anakupisha basi kwa kujivuta.

Mimi huwa nasema sasa anataka agongwe apewe hela ya matibabu ama nini sasa.
 
Back
Top Bottom