edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Sifa za kijinga mr ebo alisemaArusha kitu wanachopenda kuprove ni kuwa hawana akili sawa sawa.
Katika kitu huwa kinanistaajabisha ni hicho. Yaani mtu ana hangaika kukuonyesha kwa maneno na vitendo namna ambavyo hana akili sawa sawa na anaona ni sifa muhimu ya kumfanya aonekane katika jamii.
Halafu si wanaume si wanawake si watoto si wazee wote idea zao zinakaribiana. Utasikia "Aiseee chalii yangu mimi ni mwehu mani kaulize sijui mawapi huko nilipo ngarambua kiyechuyechu"
Me huwa nawatazama natikisa kichwa nasepa.