Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Nilikuwa hapo Arusha 2018-2021 hapo Mount Meru kuna ward waliipa jina kabisa ward ya Toyo maana wahanga wa ajali za pikipiki walikuwa wengi mno mpaka kuna mkubwa mmoja akakasirika kwa nini ward ya hosp inaitwa Toyo. Lakini halikuwa jina rasimi
Lema watamuelewa tuu eventually [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu hao uliowaita wakubwa hawapendi kabisa ukweli, yaani ingekuwa ni amri yao hiyo wodi wangetamani wala msiseme hao ni majeruhi wa Toyo, huu ujinga wa kupenda kuficha mambo sijui utaisha lini.
 
Hizi ni mbwembwe tu wala hawakimbii.
 
Siku ukiendesha pikipiki utafanya hivyo pia
Hiyo chombo kadiri unavyoizea ndivyo inakupa moody na kuamua uifanyeje yaani.

Mimi pamoja na kuwa na kile kiHonda click 125, bado kuna wkt unataka kuendesha kama Baja 😀!.
 
Hapo namuona maukali nigger hio nazani ni rali ya juzi tare 2/4/ 2023 na simon ndo aliibuka kidedea tukutane kisongo next raly masta chuga ni jamuhuri nyingine muulize hadi miladi ayo anajua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…