Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Kweli kabisaa
 
Makonda ni afisa masoko wa GSM na anapewa anachohitaji na tukio hilo na jamaa kutobolewa macho limekuwa ni moja ya fursa ya kibiashara kwa GSM na kuwaongezea umaarufu Makonda na Diamond..Inaitwa kufa kufaana
 
KULA KULALA BURE NDIO MAANA ATUNA UWEZO WA KUCHANGANUA MAMBO KWA KINA
 
Huu msaada mbona kama unataka kumziba mtu mdomo,
Sijui kama ni Said au ni wananchi?
Natamani nijue chanzo cha kutobolewa macho na scop [emoji16] [emoji16].
Kwa yeyote anayejua pls help nielewe.
 
Hivi na ule ukarabati wa ofisi yake hawakuufanya hawa jamaa??
Mi mwenyewe na darasa langu la tatu huwa napata tabu sana na muunganiko huu wa hawa jamaa...
GSM & MAKONDA Co.Ltd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…