Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Hii Connection ni kwa wema Mkuu Pasco??
Kodi zetu zililipwa ipasavyo kukiwepo hii connection??
 
Naamini makonda kajuana na hawa watu akiwa bado ni jobless,in short ni marafiki zake,
hawa jamaa wana foundation yao kwa ajili ya kusaidia jamii.
Kampuni kubwa kuwa na foundation kama hiyo ni kawaida sana,wenzetu biashara wanaifanya kisomi,wanajuwa leo wakisaidia jamii,wanatengeza costumer base yao kwa ajili ya product zao,
ni aina fulani ya marketing
 
AS LONG AS TUNA TAKUKURU MI SIONI UBAYA WAO WAKIFANYA MEMA KWA WENYE UHITAJI

 

Hizi ni hoja zisizo na mantiki kama zile za vijiwe vya kahawa kuanzia kichwa cha uzi hadi hitimisho ni blah...blah...blahh tu.
 
...pia hawa wangelikuwa waandishi kweli wangetusaidia kujua otofauti wa HSC na diskaunti senta au silenti rodi na GSM ili kujua kesho na keshokutwa yatakuwa yanaitwa majina gani!
................V/s Alosco Holdings
 
Hivi jengo la jiesiem si ndio lile liliopangana na ofisi ya sisiem[emoji12] .Ni majengo pacha yasiyofanana/flaternal twin towers so hao ni majirani mkuu lazima washirikiane.
 
Sioni tatizo kwa misaada yao.Tumejawa kwenye kukosoa tuu.Pongez zako makonda hata obama akikupa msaidie tuu
 
Mi nachoshukuru ni kuwa Makonda anafanya vyema sana...hatutakiwi kuhoji ilikuaje jamaa akatobolewa macho.

Ili linaweza kumtokea yeyote yule despite anything.

Kuhusu ili la gsm ni kweli jamaa wanajitolea sana kwenye jamii mpaka sasa wameshiriki kuokoa uhai wa watoto wengi wa nchi yetu waliokua wana tatizo la vichwa vikubwa.operation ambazo either wazazi wa kitanzania wa watoto hao ingewachukua muda kufanikisha zoezi hilo.

Kwa hili nawashukuru sana.
Haya mengine ya kuconnect Dots nawaachia great thinker wenzangu wadadavue.

Imani inanuzuia kumjadili yule anaetumia uwezo wake kusaidia maskini.

Ni Mungu pekee ndie ajuaye connection ya gsm na fedha zao.


Glory to GOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…