Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

Tafuta mafundisho ya Mwal Christopher Mwakasege utaelewa vzuri zaidi.
 
Hii si kweli, kama kila aliyefanikiwa akisaidia wenzake wote mnafanikiwa.
 
Watoto wa pili hawapewi pressure ya maisha, yani katika ukuaji wake haangaliwi sana anaangaliwa wa Kwanza.
Kwahiyo anapata muda na nguvu ya kujaribu fursa nyingi.
Tofauti na yule wa kwanza anayeaminishwa kwamba yeye ndo kichwa anaanza kujiona kafanikiwa kimaisha.

Mtoto wa pili anajua kabisa mimi ni fara lazima nipambane ili niwe na nguvu
 
Sample size, methodology, location, Sina ya sampuli?
Karibu mtoa mada
 
KRISTO YESU alikuwa wa kwanza kuzaliwa imeandikwa kila mzaliwa wa kwanza ataitwa "Mtakatifu kwa Bwaba" usitafute kichaka🤣😅😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…