herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Tafuta mafundisho ya Mwal Christopher Mwakasege utaelewa vzuri zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Ile kuwa na pesa kichizi🤣🤣🤣Kuchanyikiwa tiyari Bado pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KRISTO YESU alikuwa wa kwanza kuzaliwa imeandikwa kila mzaliwa wa kwanza ataitwa "Mtakatifu kwa Bwaba" usitafute kichaka🤣😅😆Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?
Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa kimaisha tulio baki tunasindikiza.
Katika biblia pia Jacobo alikuwa wa pili kuzaliwa, Joe, Bill Clinton, hao wote ni wapili kuzaliwa katika familia zao.
Mwenye uelewa aje na facts tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa pili wetu[emoji848]..[emoji23][emoji23]
Naendelea kusoma comments