Kasongo Yeyee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 281
- 406
Hakika...
😁Hakika...
Nikukanyage mpaka unianike...
Huyu naye amejileta kama yule dada aliyepigwa mweleka na smart au kabadiri jina tu ni yuleyule wamerudiana [emoji23][emoji23]
Pitia chupa kubwa la K Vant kwa Mangi nitakuja nalipaMwanamke hachepuki kwa sababu ya tamaa,..mwanamke akichepuka tambua kisha hamisha upendo wote kwa huyo jamaa,hata akiambiwa akuwekee sumu yuko tayari...kuna unatafiti mmoja ulifanyika ukaonyesha kua,97% Mwanamke akichepuka anaweza muua mumewe kama ataambiwa afanye hivyo na mchepuko wake ili wafurahie penz Lao...kwa hiyo Mwanamke wako akichepuka achana nae haraka sana...mwanaume anachepuka sababu ya tamaa na huwez kuta anatoa siri za ndani za mkewe wala hawez punguza upendo lwa mkewe.
Kuna mambo yanafurahisha...
Mnooooo!Kuna mambo yanafurahisha...
daaaaah hata Mimi imenifikilisha eti hakuna mke asie gawa nje,Nyinyi ndio mnafanya ndoa ziwe ngumu kwa wengine, Eti hakuna mke wa mtu ambae hagawi nje
Sasa kwa wanaume vichwa panzi ambao wanaweka kichwani kila wanachokisoma tayari ashaanza kujenga chuki kwa mke wake aliye nyumbani, Kama ndoa ilikua na furaha tayari vita inaanzia hapa..
MASHOGA siku hizi wanatamani kusiwe na ndoa kabisa ila wapate watu wengi wa kuwabomoa, Mnaharibu amani kwenye ndoa za watu PUMBAVU.
Tahira hili,daaaaah hata Mimi imenifikilisha eti hakuna mke asie gawa nje,
daaaaah sijui huyo ametumia kipimo gani
Aah Aah! Wew ushaambiwa kuwa hakuna mwanamke asiyeliwa nje ya ndoa, we hapo unanyumbulisha nini. We chukua sentensi kama ilivyo, uitumie kama ilivyo. Mambo ya kuweka mambo ya Mama, huo ni ushambaTahira hili,
Naona kuna campaign za ajabu siku hizi humu, Mara kataa ndoa..
Naona wamefika mbali kuanza kuongea upuuzi kama huu, Ukimuuliza hizo data alitoa wapi hana majibu,
Hata tukimuuliza ina maana mama yake analiwa na watu wengine tofauti na baba yake hawezi kutujibu
Wanawazindika wake zaoHebu elezea hapo ulipo sema labda mke wa mpemba?
97 wanagawa,hata wake za wachungaji wanagawadaaaaah hata Mimi imenifikilisha eti hakuna mke asie gawa nje,
daaaaah sijui huyo ametumia kipimo gani
Haya.Wanawazindika wake zao
Mimi na wewe unadhani nani ni mshamba,, Mwanamke wako aliwe unakuja kujumuisha wote wanaliwa kama sio ushamba ni nini,,Aah Aah! Wew ushaambiwa kuwa hakuna mwanamke asiyeliwa nje ya ndoa, we hapo unanyumbulisha nini. We chukua sentensi kama ilivyo, uitumie kama ilivyo. Mambo ya kuweka mambo ya Mama, huo ni ushamba
Hakuna mwanamke asiyeliwa nje ya ndoa yake. Tested and Proved
Kama yupo niwekee namba zake hapa ma mkoa atokao, nitengeneze connection, tukutumie video
Tupe data ya research yako.97 wanagawa,hata wake za wachungaji wanagawa