Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa

Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k

Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na majambazi na kuja moja kwa moja mahali hazina ilipo, hao majambazi wamefahamu vipi! Yaani raia zinatoka huko from nowhere at night, zinakuja kufungua kabati la vyombo na kunyofoa madolari!

Mwanamke ndiye mjenzi ama ndiye mbomozi wa nyumba yako, sio yake tena. Chanzo kikubwa ni tendo la ndoa kwa mwanamume aliyevutiwa naye kwa kipindi hicho, haijalishi unamkula mikwaju kwa kiwango gani

N.B: Hakuna mke wa mtu asiyekanyagwa nje, labda mke wa Mpemba

Endelea kukaza fuvu!
Tafakari, Chukua hatua

Mke wa Bakhresa hajulikani ni nani, maake alilijua hili kabla
Hilo si kweli,ati hakuna mke wa mtu asiyekanyagwa nje!!,mbona wapo wasokanyagwa,we usichanganye wote katika kapu moja, Kama ilishakutokea wewe,ni wewe!!,kumbuka malezi,tabia na mazingira watokako ni tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom