Hivi kuna ubaya mtu akiwa single

Kama waweza vumilia kuishi bila mpenz Wala nyeto... it's okay
Nakubaliana na hoja yako.
Ila namlekebisha mleta mada kuwa hakuna ukweli kuwa,''nguvu ya asili ipo kwa ajiri ya kukutumikia...'' bali nguvu ya asili ipo ikisubiri nguvu yako ili kwa ujumla wake ilete uhai kwako''
kwa ufupi
bila jasho lako hakuna maisha
 
Hakuna shida yoyote katika kuishi ilimradi tu hauvunji sheria za nchi. Waafrika wengi tunamitazamo mingi hasi hali inayopelekea kuwafanya watu kuwa na msongo wa mawazo na kuishia kufanya mambo yasiyostahili.

Tofauti na wenzetu rangi nyeupe ambapo furaha ya kwanza ni wao kufurahi na si jamii au watu watanichukuliaje. Furaha ya kweli inatoka ndani ya mioyo yetu na si ile ambayo utafanya kuwafurahisha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
KWANI U
NAJUAJE UTAZEEKA....
 
Kwakweli kuishi mwenyewe pia nafikiria sanaa naona kwangu ni maisha ambayo ntayafirahia...nataman iwe ivi...bado najitafuta siku nikijipata nadhan ntaishi ivi...Namuomba Mungu anisaidie [emoji120]
Ukweli usemwe tu,ikiwa wewe ni kiumbe hai uliyekamilika,i.e,una zile 7 characteristics of living things lazima uwe na matamanio,na hii ni kwa wote,wanaume na wanawake.

So kuwa single for ever ni ngumu sana,tusidanganyane,kila sifa ya kiumbe hai lazima ifanye kazi sawa sawa na hizi zingine.Hii ni kibiologia zaidi.

NB: kama umejipima na ukajua kuwa una uwezo wa kuishi single do it,ni Bora kuwa single kuliko kuwa na mtu anayekusumbua kila mara
 
Jipige kifua useme mimi ni kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…