JaidenG
JF-Expert Member
- Oct 4, 2021
- 740
- 969
Ndio na znaitwaje na bei kbsaZipo hospital, sinuna maanisha ya kupunguza tamaa ya kugegedana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio na znaitwaje na bei kbsaZipo hospital, sinuna maanisha ya kupunguza tamaa ya kugegedana??
Nenda hospital, Kuna za muda mfupi na mrefu.Ndio na znaitwaje na bei kbsa
Mkuu we ndo una fanya, sabuni zipande Bei[emoji1787][emoji23][emoji23]
Kwa hali ya nchi kwa sasa kukaa single bila mpenzi Nyeto lazma iwe daily bread🤣🤣🤣Kama waweza vumilia kuishi bila mpenz Wala nyeto... it's okay
Nakubaliana na hoja yako.Kama waweza vumilia kuishi bila mpenz Wala nyeto... it's okay
Hapaana mkuu, utafiti wa kalumanzila huoKwa hali ya nchi kwa sasa kukaa single bila mpenzi Nyeto lazma iwe daily bread🤣🤣🤣
Mimi naomba niwe single na wewehakuna shida kuwa single,tena kuna raha zake
Unaweza kukaa na hamu ya kutaka kuDO kwa muda gani labda?Lazima tuwe na uwezo wa control hisia zetu...na sio hisia zitutawale
Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.
Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔
👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??,
👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama mwanadamu??
Sheria ya asili(nature) inasema nguvu ya asili ipo hapo kukutumikia-
👉Pale unapo jihisi Maumivu, ita kutafutia mtu au kitu Cha kukufariji.
👉Na hivyo hivyo kinyume chake, nguvu hiyo inapoona Sasa mtu huyu kafarijika- basi huondoa sababu hiyoo.
Sasa jamani tusi hamasishane Sana katika Jambo hiloo, mtu akiona inafaa kwa nafasi yake Basi Ni sawa.
Note: sijasema watu wasipendane, au kutokuwa kuoana.
👉Wala SI support Jambo lolote hasi.
👉 I mean no malice to nobodyView attachment 2667559
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]karibu kwenye chamaMimi naomba niwe single na wewe
NAJUAJE UTAZEEKA....Well, hakuna shida kuwa single. Kwenye dini kuna mapadre, masister, n.k....
Ninavyoelewa lengo la ndoa ni ushirikano (partnership) na kukidhiana madhaifu (complementation). Kama unaweza kujikamilisha kwa mambo yote basi si lazima ndoa. Usisahau na kampani ya uzeeni pia.
WEWE WACKO JACKO ASINGEKUFA AT 50..HEWA TU IPITE MABARA...LAKINI KAFA AT 50Uzeeni pia...ukiji andaa vizuri kwenye ujana hautosumbuka sanaa...kama utatunza afya yako vizuri na uka save pesa ya kukusaidia ukiwa mzee
VizuriWell, hakuna shida kuwa single. Kwenye dini kuna mapadre, masister, n.k....
Ninavyoelewa lengo la ndoa ni ushirikano (partnership) na kukidhiana madhaifu (complementation). Kama unaweza kujikamilisha kwa mambo yote basi si lazima ndoa. Usisahau na kampani ya uzeeni pia.
Ukweli usemwe tu,ikiwa wewe ni kiumbe hai uliyekamilika,i.e,una zile 7 characteristics of living things lazima uwe na matamanio,na hii ni kwa wote,wanaume na wanawake.Kwakweli kuishi mwenyewe pia nafikiria sanaa naona kwangu ni maisha ambayo ntayafirahia...nataman iwe ivi...bado najitafuta siku nikijipata nadhan ntaishi ivi...Namuomba Mungu anisaidie [emoji120]
Jipige kifua useme mimi ni kengeHabari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.