Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo, tena mengi tu ya kifahari, lkn bado akimuona kidume "anatembelea ------" yaani anadrive lazima ashoboke! Duh..
Uhusiano kama wa mbwa na chatu.
Basi k yako si imeshakuwa sugu?Ugonjwa wa gari naona mimi ndiyo umeniathiri zaidi, hata nikimuona mtu anaendesha trekta, bajaji au tipper la mchanga tayari najisikia kufa kwake kabisaaa.
swala la wanawake kupenda magari lina ukweli. unaambiwa ata ukiendesha STK utapendwa!
swala la wanawake kupenda magari lina ukweli. unaambiwa ata ukiendesha STK utapendwa!