Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Duh! Aisee πŸ˜‚
 
Wasukuma kama hawajui kitu huwa hawajivungi, sio much know. They are humble. Watajifunza hiki na watajifunza kile. Sio mabrazameni au masistaduu. Wanaishi kwa uhalisia. Nawakubali sana wasukuma
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250121-101932~2.png
    152.8 KB · Views: 2
Ila mkuu hapo kwenye simu ndio balaaaa, yaan mtu anakupigia harafu anaongea kilugha basi huyo mtssumbuana wiki nzimsl
Nikiwa mbeya,kuna huyo toka Shinyanga mdada alikosea namba,ni mama wa watoto watatu...aliendelea kunipigia kila asub na kuniambia basi aje,aisee nilichoka.
Ila nna rafiki zangu wasukuma waliochanganya mama toka kabila lingine wapo poa sana na wajanja
 
Hahaha nmekaa Sana kule Kama 14 yrs maeneo tofauti. Vijijini tulienda na gari masikini watoto wanakimbia huku wanalia sijui wanawaza mnyama gani huyu mkubwa hiviπŸ˜„πŸ˜„, yaani hata pasi ya umeme wanauliza "na haka Ni ka Nini? Hahah!

Kiboko Ni pale tumetoka mwanza mjini kuelekea kwimba barabara ya vumbi sio kijijini kivile Sasa tupo kwenye haisi njiani tunaona abiria wawili walikuwa wadada wanasimamisha gari, konda kafungua mlango hahah! Wakwanza akavua viatu akaingia amevishika mkononi, wapili na yeye anamwangalia wa kwanza kafanyaje hahah! Na yeye pia akavua viatu akashika mkononi Sasa gari ikaondoka watu wote kwenye gari tukaanza kucheka vibaya mno, konda akawaambia hebu vaeni viatu vyenu, wakavaa nakumbuka dreva wa gari aliendesha anacheka hadi tunafika kwimba🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…