Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Ongezea sukari wewe
 
Wewe ni kabila gani..??
Una umri gani..??
Una ujanja gani wa kuwazidi wasukuma..??
Una utani na wasukuma..??
Unatoa wapi mamlaka ya kuhoji ulaji wa mtu..?? Umempa wewe huo ugali.. Uchoyo wa kabila lako na njaa za kwenu visikupe jeuri ya kuhukumu ukarimu wa wasukuma..
Kama wewe ni mtani wa wasukuma hakuna tatizo.. Lakini kama hauna utani na wasukuma basi acha upumbavu na fata maisha yako
Nyanoko bhebhe..
 
Nyanoko bhebhe inamaanisha nini mkuu😀😀 msukuma kachokozwa hukuu
 
daah
 
Ni mapacha hawa, kamwe hawatotengana.....ni sawa tu Mkwere na vibao kata ama mchiriku kila weekend.
 
Achana nawo!
Wanatuonea DONGE na WIVU tu hao!
Kwanza wanatamani wangekuwa wasukuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…