Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Wakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
kwaiyo unaunga mkono simu ya baba isiguswe mkuu?Nilijifunza kuchezea simu kupitia simu ya mama
We isiguswe bila ruhusakwaiyo unaunga mkono simu ya baba isiguswe mkuu?
Simu ya mama ilikuwa kama kituo cha polisi mpaka uitwe ndio uende.Nilijifunza kuchezea simu kupitia simu ya mama
Hahahaah... Hii ni kweli kabisa, yani simu ya mama ndiyo inatumikaga na watoto wote kupiga simu huku na huko, hasa dakika kwenye simu zao zikiwa zimekataWakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
Haahaaa HaahaaaWe isiguswe bila ruhusa
Wengine wanakopa na songesha, mama wa watu akija kuweka hela zake za marejesho zinakatwa juu kwa juu😄😄Hahahaah... Hii ni kweli kabisa, yani simu ya mama ndiyo inatumikaga na watoto wote kupiga simu huku na huko, hasa dakika kwenye simu zao zikiwa zimekata
huyu mimi mpka nimeondoka home hajanistukia tuWengine wanakopa na songesha, mama wa watu akija kuweka hela zake za marejesho zinakatwa juu kwa juu😄😄