Hivi kuna ukweli kuwa simu ya mama ni ya familia ila simu ya baba inabaki kuwa ni ya baba tu

Wakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
Hahahaah... Hii ni kweli kabisa, yani simu ya mama ndiyo inatumikaga na watoto wote kupiga simu huku na huko, hasa dakika kwenye simu zao zikiwa zimekata
 
Hahahaah... Hii ni kweli kabisa, yani simu ya mama ndiyo inatumikaga na watoto wote kupiga simu huku na huko, hasa dakika kwenye simu zao zikiwa zimekata
Wengine wanakopa na songesha, mama wa watu akija kuweka hela zake za marejesho zinakatwa juu kwa juu😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…