Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

Sema mkuu hujahisi ukakasi wowote wakati unaandika haya?? Ila acha tuendelee cause si tumeyapokea wenyewe.
 
Sema mkuu hujahisi ukakasi wowote wakati unaandika haya?? Ila acha tuendelee cause si tumeyapokea wenyewe.
Ni ngumu kuelewa kama husomi biblia na kuelewa ujumbe uliomo.
Na biblia ukitaka kuelewa inakupasa usome kwanzia mwanzo hadi mwisho siyo kwa kuruka ruka kama wachungaji wanavyo fundisha watu wakasome sijui mstari flani nk.

Hapo mtu hawezi kuelewa kamwe atakuwa mtumwa milele l.
 
Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, πŸ€”still doesn't make sense....View attachment 3552988
Sayansi inataka evidence Kwanza ndipo ifuate IMANI. Yesu anataka umwamini kwanza ndipo ajidhihirishe(akupe evidence ya uwepo wake). Kila Jambo lina Kanuni zake.
USICHANGANYE MAFAILI
 
Sasa mkuu kama unapinga labda wewe ndiyo utoe ushahidi kwamba hakuwepo kwa sababu zako unazozijua wewe. Sababu hata kwenye sayansi ukipinga theory ya mtu lazima utoe sababu.

Katika hizo unazoziita nadharia,ambazo zinamitazamo tofauti hakuna inayopinga kabisa kwamba Yesu au Muhammad[samahani kama nmekosea herufi] hawakuwepo bali zinatofautiana tu baadhi ya point.

Labda wewe kutoka Njombe huko unaweza kuja na nadharia yako wapo watakuelewa watakufuata kwa kutumia references unazozijua wewe
 
Still hamna aliyepinga but we need something that has an evidence. Bado tupo kwenye stori tu, yaani kwakuwa may be ulisikia kuhusu stori za vibwengo utataka kila mtu aamini kuwa vilikuwepo.

Tumelelewa katika urithi na stori, ila mtu anaetafuta ukweli siku zote ha rely kwenye stori tu ila evidence and facts.
 
Sayansi inataka evidence Kwanza ndipo ifuate IMANI. Yesu anataka umwamini kwanza ndipo ajidhihirishe(akupe evidence ya uwepo wake). Kila Jambo lina Kanuni zake.
USICHANGANYE MAFAILI
Kila dini ili ikukamate lazima uamini. Hata kwenye utapeli mara nyingi kinachoponza watu ni uaminifu. So how can you believe something you can't verify unabaki kusema Imani ndio kila kitu, amini kwanza uone πŸ€”πŸ€”

They are all stories..... Not facts
 
Masuala ya dini ni imani, kwaiyo ni suala la kuamini au kuachana nayo. Sio Yesu tu, mambo mengi hayana uthibitisho. Hata ile ghalika wakati wa Noah, hakuna ushaidi wa kifizikia au jografia unaoonyesha kwamba kuna mafuriko yalishawahi kutokea dunia nzima

Kubadilisha fikra za muumini au kumtaka atumie logic sio rahisi. Linapokuja suala la dini mpaka maprofesa wanaamini zile story za eagle, donkey na nyoka wanaoongea kwenye biblia ni za kweli.
 
Yesu (Issa),
Alikuwepo na alikuwa na uwezo wa kufanya yote ulliyotaja hapo:
MUNGU humpa mtume wake miujiza kutokana na zama aliyokuwwpo,
Issa(Yesu) alipita kipindi ambacho tasnia ya utabibu ilikua katika kiwango cha juu.
Hivyo ilikuonyesha upekee na kuwa na uwezo zaidi ya binadam wa kawaida MUNGU alimpa uwezo wa ziada.
Kwamfano kwa Nabii Mussa yeye alipewa uwezo mkubwa zaidi kuliko uchawi wa kawaida wa binadam.
πŸ™
 
Dah ila watu wangejua maisha Yetu ni full logic. Na logic ndio inatusaidia kujua ukweli, kutatua matatizo, kuelewana, kuleta Sheria wangejifunza logic first believe later.

Mtu anayetumia logic ni ngumu mno kumdanganya tofauti na watumia Imani. Nadhani hizi stori za kwenye bibilia ni stori tu zimepita kwenye civilization mbalimbali bila kujua ukweli.
 
Bro they are all stories. Hamna fact hapa kila dini Ina la kwake hata kwa wenzetu wahindi ukipewa stori za sanamu wanazojenga pengine wanahisi Kuna kitu Cha tofauti wakiomba vilevile wazee watu waliokuwa wakiomba miti walihisi ila hamna ushahidi zaidi ya hisia na Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…