Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅

Comments zenu nitazizingatia😁😁

Naomba kuwasilisha

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
 
Back
Top Bottom