Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hapo ni impossible angle! Labda Mwanaume awe na mitambo isiyowaka! Wanandoa tu wanaopanga nyumba moja vyumba separate, wanaibiana sembuse ninyi muwe alone of alone!??
 
Mimba inakuita kwa spidi ya umeme.

Halafu utashushia na machozi ya kutelekezwa
Mwanamke ndie huamua mimba iingie au isiingie..labda mzunguko ulete mtafaruku Chief
 
Habari za muda huu wakuu.
Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza 👆juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅

Comments zenu nitazizingatia😁😁

Naomba kuwasilisha

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
Huweza kukaa na toothpick mdomoni siku nzima usiitafune
 
Wewe haujui, picha linaanza hivi.

Mwanaume kwa kawaida ni mvivu wa kupika. Hivo mwanamke atapika chakula cha wote na atatenga mezani watakula pamoja.
Kumbuka hapo mdada atakuwa amevaa nguo ambazo sio rafiki[emoji23][emoji23][emoji23]na unajua watu wakishiba mawazo ya sex yanakuja?

Wanaanzia hapo hapo hamna hata kwenda chumbani. Kwa sababu mlango umefungwa. Baada ya hapo ni kuanza kuishi kama mume na mke tu[emoji23][emoji23].

Shida inaanza pale mmoja wapo mpenzi wake anakuja kumtembelea.
Hapo kwenye 'kushiba na mawazo ya sex yanacome '[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo umeniacha hoi
 
Essence ya hio idea ni Cohabiting..Kwahio kama we una mpango huo nenda tu! Ila ujue unaenda kuwa mke. Sio kila ndoa lazima ianze na kupigiana magoti mbele ya cameras.
Inakuja inakata inakuja inakata🤣🤣
 
Back
Top Bottom