Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Inawezekana sana kama msingi ni urafiki make ata mwanamke anahitaji marafiki wa kiume

Sijui lakin kama nmepatia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya kuegesheana miguu kitandani hayakwepeki...Mara paap mipapaso ya pwani imeanza 😂😂😂 hujakaa vizuri kachupi kamevutwa pembeni nyoka anatafta hifadhi 😂😂😂
Ohooooo
 
Napika kwa ufundi wote chakula ambacho kitakushawishi baada ya kula utamani kumla na mpishi.
Fanya uje tupange pamoja.😂😂😂😂😂
Wooooozaaaaah
 
Na mimi nacheka chekaa huku nasema "kweli? Sasa hapo nilikuwa na haraka ngoja siku nikae nikupikie vizuri". Jicho nalirembua haswa.😂😂😂😂
Woooooozaaaaaahhhhh🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Naendelea kusoma comments zenu wakuu hususani wewe
 
Na mimi nacheka chekaa huku nasema "kweli? Sasa hapo nilikuwa na haraka ngoja siku nikae nikupikie vizuri". Jicho nalirembua haswa.😂😂😂😂
ila wanawake jaman mtatuuwa yan ukiongeza. boy nakazia apo mwnamke jicho bhanaa 😅😅😅 ivi waona kwel ww!?
 
Napika kwa ufundi wote chakula ambacho kitakushawishi baada ya kula utamani kumla na mpishi.
Fanya uje tupange pamoja.😂😂😂😂😂
😍😍😍Hahahah hapo swadaktaaah, wacha nitafute nyumba soon 😝😝😝 nije kuinjoy madiko diko mie...mwanamke kupika bana!
 
Inawezekana sana kama msingi ni urafiki make ata mwanamke anahitaji marafiki wa kiume

Sijui lakin kama nmepatia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena umepatia kwa kiwango cha juu sana.wewe unafaa sana mkuu.inawezekana ulishawahi kuishi maisha hayo.hebu nipe uzoefu kidogo
 
Back
Top Bottom